H O M E
A Brief Biography
Curriculum Vitae
Student Area (Emory)
PODCASTS
Political Music Videos
Data Sets and
Computer Programs
Scholarly
Speculative Nonfiction
The Farsight Institute
Links of Note
Book Reviews
Topics
Schedule
Live Music
Studio Music
Poetry
Peace Corps

C O N T A C T

 

 

Hakuna Nafasi

Kimetungwa na Courtney Brown

Maji ya maembe yatamu,
nikichukua wakati kula.
Lakini,
nikiyatupa tumboni
kama jiwe shimoni
yachuruzika moyoni.
Kutochukua wakati kula.

Watu wa America,
hawajui hii.
Wanakula maisha yao
na upesi.
Mpaka kila wiki
ni mwezi
ni mwaka
yanayopita
yametupwa, na pia
wamekufa,
hata walikiwa waendelea.

Rudisha mimi Africa!
Kutoka bara hii, ninaokaa.
Rudisha mimi Africa,
na nitalinda moyoni.
Maana, ninakumbuka,
kutoka zamani,
kama la embe,
ziwa la titi latamu,
nilipokuwa mtoto.

Rudisha mimi Africa!
Na nafsi yangu
itachanua tena.
Na nitaisha na watu wanaokaa na Mungu moyoni,
siku zote ya maisha.